Bado naamini CCM haina uwezo wa kutuletea Tanzania bora

Bado naamini CCM haina uwezo wa kutuletea Tanzania bora

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
Hii nchi ni kubwa haiwezi jengwa na MTU mmoja,haiwezi jengwa kwa mbwembwe za watu wote tumfuate mtu mmoja
 
hiyo ni kweli zaidi wanatuingiza katika matatizo.

swissme
 
Watanzani tumegeuka kuwa kama walokole fulani hivi...

Hatuwezi kumwamini mtu mpaka awe na mbwembwe zisizo za msingi kama hizi stunts za 'RAIS WA CHATO'....

Kama ilivyo kwa walokole kutomwamini mchungaji asiye na Miujiza ya kustaajabisha.
 
Mmmm!!
Kweli vijana wetu wana shida . Una anza kwa kuongelea CCM. Kabla huja enda hatua 2 tayari ume potea njia.
Una anza kuongelea mtu mbona una huko hivyo?
Huoni yote mazuri yaliyo let wa na Rais na Chama chake?
Au uli taka uletewe ugali mezani na kulishwa? Fanya kazi wacha CHIKO CHIKO .
Sasa ni kazi tuu la sivyo umati wa wa TZ utapita
 
Uta pita juu ya mgongo wako uki enda mbele. Sisi tuna taka watu wanao tupa maarifa ya kutatua changamoto za maendeleo siyo maneno matupu na dharau
 
Usijisifu kuwa una mbio kushinda wote ila msifu anayekukimbiza

CCM kama wanataka kuendelea mbele sharti wawashilikishe upinzani kwani "kidole kimoja hakivunji...."

Mapungufu ya J.P.M

1:- Mtu wa visasi
2:- Ana kibri
3:- Anachuki za kishamba
4:- Hapendi ushauri
5:- Mpenda sifa
6:- Mjuaji
7:- Hapendi kukosolewa

All in all yeye siyo Malaika.......ila akubar kushauliwa...
 
Ni kweli haiwezi jengwa na mtu mmoja ni kama vile chadema isivyoweza kufanya lolote mpaka dikteta Mbowe atakapo acha kuamua yote peke yake
 
Mikopo na madeni kibah huku wao waki zipi kuneemeka
 
jaman tuwe wavumilivu tuwape miaka 55 mingine mambo yatakuwa mazuri
 
Mmmm!!
Kweli vijana wetu wana shida . Una anza kwa kuongelea CCM. Kabla huja enda hatua 2 tayari ume potea njia.
Una anza kuongelea mtu mbona una huko hivyo?
Huoni yote mazuri yaliyo let wa na Rais na Chama chake?
Au uli taka uletewe ugali mezani na kulishwa? Fanya kazi wacha CHIKO CHIKO .
Sasa ni kazi tuu la sivyo umati wa wa TZ utapita
hawa vijana ndio waliosoma upe uwezo wao wa kuhoji na uelewa wao ni sofuri
 
Mmmm!!
Kweli vijana wetu wana shida . Una anza kwa kuongelea CCM. Kabla huja enda hatua 2 tayari ume potea njia.
Una anza kuongelea mtu mbona una huko hivyo?
Huoni yote mazuri yaliyo let wa na Rais na Chama chake?
Au uli taka uletewe ugali mezani na kulishwa? Fanya kazi wacha CHIKO CHIKO .
Sasa ni kazi tuu la sivyo umati wa wa TZ utapita
Mpaka leo siamini kama rais wa tanzania ni kufuli
 
Back
Top Bottom