William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,750
- 2,391
kikwete amemfunga mikono kilasehemu raisi wa sasa John Pombe Magufuli kwa kisingizio cha kulinda chama na kukusudia magufuli aonekane dicteta na kukosa ushirikiano wa kimataifa, Jk amefanikisha kufanya hivyo kupitia chama cha Mapindunzi ambacho yeye ni mwenyekiti kwa
1. Kupitisha sheria kandamizi pindi anamaliza Muda wake kama za makosa ya kimtandao
2. kuuacha mchakato wa katiba mpya kwenye mfarakano mkubwa
3,. Kutengeneza mgogoro wa zanzibar kupitia chama chake cha CCM bara na kuufikisha kwenye sehemu ngumu kabisa kufikia Maridhiano,(swala la Zanzibar ccm wangeweza kujitangaza washidi kama mwaka 2000 na sio kufuta matokeo na kuandaa uchaguzi uliofanyika bila waangalizi wowote wa kimataifa)
4. Jk na CCM kumpa kiburi Magufuli ili agombane na wahisani na uchumi wa nchi udolole na ugumu wa maisha uanze na chuki ya masikini kwa Magufuli ikue, Juhudi za kupambana na rushwa zipuuzwe,
Lazima magufuli aangalie mazingira hayo kwa umakini mkubwa. Nyerere alishindaa kukontroo uchumi wa nchi hadi kungatuka kutokana na kupungua misaada toka nchi za kijamaa baada ya kufa umoja wa nchi za kisoviety, akiwa mwenyekiti wa CCM nyerere arimruhusu mwinyi kukubali baadhi ya sera za kibepari ili kupata misaada ya Magharibi,
Mwinyi ariruhusu vitu vingi vya kimagharibi na kuweza kumudu kuendesha nchi. kama vyama vingi, soko huria na ubinafshaji,
Mkapa alipata sifa kubwa kwa kujenga uchumi mkubwa
kupitia misaaada ya USA ya millenium chalenge, pamoja na wimbi la rusha lakini barabara zilijengwa na zahanati na shule na kumaliza awamu vizuri.
jk yeye alimaliza muda kuombaomba misaada japo nyingi zilipigwa lakiini tuliona baadhi ya misaada ilivyojenga barabara . vipi CCM chini ya Jk kuwapa moyo wananchi kuwa misaada sio lazima? Pili jk aliendeleza sifa kwa magharibi kwa kukuza uhuru wa habari, kuanzisha mchakato wa katiba japo kinafiki, kuweka maridhiano zanzibar, usawa wa kinjinsia na kujihakikishia misaada,
Vipi leo Jk akiwa mwenyekiti wa CCM amwekee vikwazo Magufuli kwa ishu iliyomikononi mwake ya zanzibar na makosa ya mtandao ambayo yeye aliyaepuka
Inshuu ya zanzibar inafanana sana na ishu ya China na Hongkong ambapo China ilibanwa sana hadi ikawapa baadhi ya Uhuru hongkong, Au inshu ya Russia na Ukrane iliyopelekea rushia kutengwa na jumuiya ya kimataifa.
na zipo inshu nyingi kama hizo vipi jk Jk ampe Magufuli sababu ya kutengwa huku tukiwa taifa duni kiuchumi, eti tunaweza kujitemea
5. kuacha nchi bila akiba na Madeni makubwa ili Magufuli aishie kulipa madeni na kushindwa kuboresha mishara na marupurupu kwa watumishi. kuboresha miundombinu na
juhudi zake kuonekana ni hewa kwa wananchi wa kawaida.
hayo yanaonesha wazi nchi hii itatetereka kwa kukosafedha muhimu na magufuric"
NI VIZURI MAGUFULI AJUE KIKWETE YUPO CCM KULINDA KIVURI CHAKE NA SIO CHAMA, CHAMA KITALINDWA KWA KUPIGANIA WANYONGE NA SIO KUKANDAMIZA MATABAKA FULANI