%%%. Bado kidogo nimpige vibao mdogo wangu wa KIKE .%% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

%%%. Bado kidogo nimpige vibao mdogo wangu wa KIKE .%%

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by blogger, Sep 27, 2012.

 1. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Cjui MUNGU wao tofauti na wetu..

  Tunaishi bado kwa wazazi. ila kuna viajira tumepata mjini...

  kilichonifanya kuleta huu uzi hapa ni kashfa alizonipa dogo wangu baada ya kuomba nauli...alisema hivi..
  ,
  wewe(mimi): unaombaje nauli wakati una kazi..

  nikajifanya kama sijasikia..

  akarudia ....."huwezi omba nauli na una kazi".

  nikamwambia mshahara/posho bado....
  akajibu.. "huwezi save hela zako"

  hapo sasa uvumilivu ulinishinda nikaamua kumpa live... nikamwambia dogo usinnizoee vibaya mie ni mtoto wa kiume...kumbuka kwamba wewe unavyokatiwa mshiko mtaani na wanaume na mie kuna mrembo namkatia mshiko...hivyo basi ni halali mie kuishiwa mapema....nipotezee.

  nkaondoka.. ila nilivyo panda gari nafsi ikanisutta kwamba nimekua rude kwa sista. Najiandaa rudi home saiv..

  sasa ndugu zangu nikakomae na msimamo wa yeye kutofuatilia maisha yangu.. au niombe msamaha kwa kua rude..

  KARIBUNI
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  How old are you?
   
 3. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Blogger bana, kaombe msamaha tu, na umweleze kuwa kama ungekuwa na hela usingeomba, ulikuwa huna, na kama yeye ana uwezo angekupa na sio kuruhusu uombe nauli! Ni PM namba yake dadako, anaonekana dada mwenye msimamo na mchapa kazi..au vipi blogger tuunge undugu bana shemeji yangu!
   
 4. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  nimefunguka vizur sana.. sijui waniuliza nin tena
   
 5. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180

  taratibu kaka...
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Nakuuliza umri wako


  (eye roll)
   
 7. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  ili iweje..,
   
 8. S

  Starn JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Moigie simu Omba msamaha haraka sana
   
 9. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Blogger vipi ndugu yangu, hupendi niwe shemeji yako? Kumbuka mwenye dada hakosi shemeji!
   
 10. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  He he he,, umenikumbusha mbali sana,, nina upinzan wa asili na my sisters as tumefuatana,,, yaan wote wameshaolewa but tukikaa home masaa tu pamoja lazima tuzinguane.. Siku ya harus ya my last sister machoz yalitaka kunitoka, wakanicheka eti najifanya mjanja kumbe nawazimia..

  Kumbe nilikuwa namiss hela ya bia as sister alikuwa akiniona sielewek friday jion tu ananipiga na wekundu kazaa mzee huyo viwanja
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmmhhhh, kukaa kwa wazazi hadi unaanza kazi? Sishangai hata ukiishiwa.
   
 12. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nikopeshe wekundu wawili

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 13. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  ok.. ni .mtazamo wako
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  dada yako yupo sahihi......

  Na ulichofanya si sahihi

  bye
   
 15. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180

  nashukuru pia...
  sijui ukweli uko wap hapa..
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Ulishindwa kumuelewa tu!
   
 17. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,903
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  ilibidi nifanyeje kaka!?
   
 18. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Sister wako alikuwa correct, unapaswa ku-manage vizuri fedha zako. Kauli yako ilikuwa ya dharau kweli kweli, buy her something on your way home. A bar of chocolate will do, usiseme kitu, ataelewa tu. Good luck
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwa ufupi huna adabu kwa dada yako
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Upo nyumbani 2 huwezi kukutanisha miezi!! je ukianza kujitegemea?!!! .........
   
Loading...