reg edit JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 403 Reaction score 504 Mar 22, 2021 #1 Nimeusikiliza huu wimbo aisee kijana ameimba kwa hisia saaana.. inawezekana ukawa ndio wimbo unaoamsha sana hisia kuliko zote kwenye nyimbo za maombolezo ya msiba wa raisi wetu Magufuli. Kuanzia vocals, beat na mpangilio wa maneno amejitahidi sana. Link hiyo
Nimeusikiliza huu wimbo aisee kijana ameimba kwa hisia saaana.. inawezekana ukawa ndio wimbo unaoamsha sana hisia kuliko zote kwenye nyimbo za maombolezo ya msiba wa raisi wetu Magufuli. Kuanzia vocals, beat na mpangilio wa maneno amejitahidi sana. Link hiyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Mar 22, 2021 #2 Amejitahidi...
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,941 Reaction score 27,464 Mar 22, 2021 #3 Dah