Hii tabia ninayo pia,, Home-Kazini-Home,,..Najitahidi kujenga ukaribu na watu ninaoishi nao hapa ila nimeshindwa zaidi ya wauza maduka.Sinaga hata namba za majirani zangu.
dah sinywi pombe,wala sigara wala kilevi cha aina yoyote ila last month niliamua niangalie kipi kinachomaliza hela zangu
Niliishia tu kucheka mwenyewe baada ya kugundua kuwa misos misos imechukua 70% ya matumizi yangu nkaenda kujiridhisha baada ya kufungua fridge nkaishia tu kucheka kwa vitu nilivyovijaza kwenye fridge
Washkaji wengi sikuizi wachawi tu, hawana issue man... Kazi kuchunguzana na kuchafuliana sifa (u snitch) afu mbaya ukija kufanikiwa au ukiwa na mafanikio wanageukaga kuwa ma chawa na kujipendekeza sana...
Kuna mda nilijuaga punyeto/kuichua ni tatizo kuubwaa katika pita pita zangu nikakutana na mwalimu ni professor nikamswalika swali kuhusu kujichua,
Nilimuuliza hivi punyeto ni hatari kwa afya kwa kiasi gani?
Professor akanijibu kuwa ni inategemea na kadri unavyoufanya kuna namna ukifanya inakuwa haina madhara kabsa na kuna namna ukifanya ndio itakuletea madhara,
Na alisimama katika kufanya kupita kiasi ndio utakuletea madhara ila kama utafanya kwa wiki mara mbili tu na kwa njia salama inakuwa haina tatizo lolote lile.