Karikoo Mtaa wa Aggrey pale kwenye fujo Nyingi na pilika za Mafundi simu. Ku-Unlock Modem ni Tsh1,500. Tena sasa wasijue wengi kuwa tatizo lako ni ku unlock, watakugombania na unaweza kufanyiwa hilo zoezi hata kwa Buku Moja tu. Huyu jamaa hapa na Bei zake labda aende Mikoan ambako watu bado hawajachangamka.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums