deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Microsoft windows pamoja na Linux wana technology ya ad-hoc ambayo inakuja na operating system inayo kuruhusu ku sambaza wifi kwa kutumia wireless card ya laptop au desktop PC.
Tatizo likaja ya kwamba kwa technology hii ni ya PC-to-PC, hauwezi ku-connect devices za android, windows mobile na nyingine na hii ni sababu simu nyingi zinatumia Access-Point mode badala ya Ad-Hoc mode. Baada ya kufanya research ya kutosha nikagundua kuna utaalamu wa ku sambaza Wifi kwa Access Point.
Kwa wale watumiaji wa Windows kuna software inaitwa mHotspot (mHotspot - Turn your laptop into wifi hotspot) ambayo ni rahisi kutumia, ukisha install unafanya few configuration kutokana na mahitaji yako kisha vualaaa device zote zinakuwa na uwezo wa ku detect.
Kwa wale watumiaji wa Linux kuna Hostapd ambayo pia inahitaji uwe ume install dhcp3-server. Ina maelekezo marefu na sitaki kuwachosha watu wasiopenda kusoma stori, ukitaka maelekezo zaidi kuhusu Hostapd kwenye Linux gonga hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ne-into-a-wifi-access-point.html#post10966037