Ngoja waje, tuyajadiliLeo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.
Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.
The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kinapunguza usezo wa kufiri."
Hii sio habari njema kabisa hasa katika Taifa kama letu tunaojipambanua duniani tuna ndoto za kuwa taifa ya uchumi wa katika ambao msingi wake ni kukumbatia maarifa, ubunifu na teknolojia na uwajibikaji.
Ukitazama kwa undani watu wote mashuhuri duniani wakiwemo, great leaders, wanafilosofia, wanaharakati na scientists wengi wao either walikua matowashi au hawakuwahi kuoa kabisa au walikua na mke mmoja tu.
Mfano mzuri ni Jesus, mtume Paulo, Issac, Plato, Socrate, Newton, Dr Martin Luther etc
Kupenda chini kunapelekea akili kuwaza ya chini tu ..
Karibuni tujadiri hili
ni kweli kuna punguza usezo wa kufikiri..............Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.
Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.
The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kinapunguza usezo wa kufiri."
Kuwa active sio sawa na kufikiri vizuriMmh hao watafiti naona wameanza kupingana tena maana wengine walidai kufanya mapenzi kunafanya akili iwe active.
Kuna wakati nazidisha hadi chenjiNikweli kabisa me nibussness man, huwa nikikaa mda mrefu bila kubinuka huwa inanipelekea kila nikishika hela mikono inanitetemeka
Anza kwanza kujitafakari wewe kabla na baada ya kuzijua nyuchiNaomba link ya chanzo chako cha habari mkuu
Aaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee sina mawazo ya kugundua chochote vilivyogunduliwa na wengine vinatosha mkuu wacha nijilie utamu
Maui tendo lile uwa tunafanya ili ku refresh baada ya miangaiko ya siku,Anza kwanza kujitafakari wewe kabla na baada ya kuzijua nyuchi
Mr troublemaker...punguza tu mbunyeImefika hatua hizi tafiti zinachosha aisee.
Mkuu ...vipi punyeto umeshaidhitisha?Maui tendo lile uwa tunafanya ili ku refresh baada ya miangaiko ya siku,
ungesema PUNYETO hapo ningekuelewa
Meeyah..tupunguze tu ikiwa tunataka tuwe na uwezo wa kufiri vyema. Unakumbuka ile riwaya ya penzi kitovu cha uzembeMMU sio mapenzi pekee