Bad Granny Kasie Matata....

Aahhahaaa looh, usifanye nikarudi kwenye ule uzi kuona ulikuwa na swaga gani....

Sema tuu sijui kama ID ni hiihii au ulikuwa unatumia ID nyingine...
Ile nliyotumia kipindi kile imeshakula lyf ban
 
Imebidi nicheke tu

Kwa raha zakoo baba chekaaa, Ila ucheke kwa stepu usitengeneze mifereji ya wrinkles wala uzivunje mbavu zako maana spea hakuna eehehhee.

Limekolea....!!?? Basi inama, mi napinda mugongoo...
 
Kwa raha zakoo baba chekaaa, Ila ucheke kwa stepu usitengeneze mifereji ya wrinkles wala uzivunje mbavu zako maana spea hakuna eehehhee.

Limekolea....!!?? Basi inama, mi napinda mugongoo...
Naomba nikushikilie msambwanda tukicheza wote
 
Ile nliyotumia kipindi kile imeshakula lyf ban

Ooh polee, ilikuwa ipi hiyoo!!?? Wish nikaisome tena maana washiriki walikuwa wengii...
 
Hi hi hi bibi mshenzi sana wewe umenimalizia bwando sina kitu kabisa nimebaki na kyumbu
 
Ifike mahali ukubaliane na umri sasa, shangazi waachie wapwa zako unaboa eboooh..!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wooh polee... ikiwa kwenye damu huwa haichuji....

Wahenga walisema Ng'ombe hazeeki maini....

Ukiyapata makange ya maini na ugali wa bada weeehhh

Najikuta tuu, nimeinama na kupinda mugongo...

Chobani Matata.
 
Naomba nikushikilie msambwanda tukicheza wote

Yoopeeeh....

Wanaruhusu kushikilia bega kidogo tuu tena wakati wa kupinda mugongo....

Msambwanda anashika Le Big Sam orijinale pekeyake aka Asprin
 
Wooh polee... ikiwa kwenye damu huwa haichuji....

Wahenga walisema Ng'ombe hazeeki maini....

Ukiyapata makange ya maini na ugali wa bada weeehhh

Najikuta tuu, nimeinama na kupinda mugongo...

Chobani Matata.
Haya bhana kila la kheri..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi hi hi bibi mshenzi sana wewe umenimalizia bwando sina kitu kabisa nimebaki na kyumbu

Poleee mwayaaa aahaahahahhaaa
Ila si umeinjoi...???!
Au bando limekata kabla halijakolea!???

Hizo ulizobaki nazo zikung'ute zichuje majimaji zikikauka na kuwa kavu chaji inarudi upya na data itasoma fuluwulu.....

Mi nainama, nakupinda mugongo....namna hii....
 
Kasie M. Sema sijuhi uko pande zp but I wish I could ......

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakuelewa nywilaa

Dunia ndogo sana hii, yawezekana ijumaa tulipishana mtaani Ila ndo hatujuani eeheheheheee
Cha muhimu kudumisha amani tuu ili hata siku tukitambuana tabasamu linakuwepo.

Ajeeeeee, limekokeaa.....!!??
 
Good boy,

Huku niliko, hakuna kulala....

Right back at ya.
Ok mum...... Ww upo sehemu za dunia ya kwanza... Mm huku nipo sehemu za dunia ya nne cjui.... Yaani kupo kimyaa..
Ngoja na mm nijikatae...
 
Camp matata, mahaba matata, mziki matata, dance matata, la kuinama na kupinda mgongo!

Dah! Kweli we K. Mtata aisee!

Sisi huku bado tunachezeshwa Jingle bells tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…