Kasieeeeeee!Holla,
Kuna mahali niko tangu jana kempu flani hivi ya mahaba, sasa ina ratiba na vitu kadha wa kadha vya kufanya for fun, enjoyment and relaxation.
Kati ya ratiba zoooteee, ilipokuja ratiba ya dancing class weeeh, ilibidi mwalimu alikaa pembeni na kuniachia dancing floor...
Waalaaah, nililisakata rhumba kiasi cha kupata midadi yangu mwenyewe aahahahahaaa ilikuwa dansi Matata...
Mpende anaekupenda, asiekupenda achana nae...
Hayo machejo hayo, yamenifanya nimeshinda wima leo siku nzima... Halafu usiku huu bado nna jukumu tetee... tete a tete...
Kama songi limekolea, basi inamaa, kisha pinda mugongo namna hii...
Twende pamoja, atuuu atwaa atwaa twatwaa... basi inama...kisha pinda mugongo...
Ila tuache mashihara, mwanaune anayecheza na kukata mauno kama huyo kaka aliyevaa kipochi hapo kiunoni wuuuh unastukia tuu hali ya uterezi uterezi nyanda za kati kusini.....minyegeeeh kibaba....
Dawa yake ni kuinama, kisha pinda mugongo...(namna hii...).
Happy Festive Season MMU Members.
Granny Matata Kasiba.
Holla,

Kupitia bibi huyu, kwamba ni Platinum Member.... nashawishika kuamini kuwa JF walikula ile rushwa pendwa.
Hakuna lolote la maana, K ni K tu.... ila hii K ni Matata Platinumz.
Kwa umri wangu siwezi tafuna kucha, umesahau nilikukosa kidogo tu kwenye catch me if u canNimemzidi miaka 2.....
Vipi umekolea au bado unatafuna kucha...!??
Imebidi nicheke tuNywiiilaaaaaaa......
Kama songi limekolea....basi inama, kisha pinda mugongoo...namna yakee atwaa atwaa twaaatwaa...
Tunainama kisha pinda mugongo...
K'Matata.
Kwa
Kwa umri wangu siwezi tafuna kucha, umesahau nilikukosa kidogo tu kwenye catch me if u can