kuna msemo wa wazungu unasema "bad company corrupts good behaviour". mimi naona hii ni kweli asilimia nyingi hasa kwa watu wasio na msimamo mkali na tabia na sheria za nini wafanye na marufuku kufanya katika maisha yao ya kila siku. je unaona huu msemo ni wa kweli? na nini kimeshawahi kutokea kutokana na kampani za watu/marafiki wa karibu kikacorrupt good/bad behaviour yako?