SOFTWARE Backrow Rush: App ya Drafti - Checkers/Draughts Online

Game limeboreshwa. Linapatikana Google play store. Tafuta kwa jina 'Backrow Rush'
 
Nikupongeze kwa idea nzuri

Ila inabidi uifanyie maboresho kidogo

Game yako 'king' haitembei inacheza kama kete ya kawaoda wakati imapaswa kutembea
 

Attachments

  • Screenshot_20260306_210637_Backrow Rush.jpg
    133.1 KB · Views: 26
Nikupongeze kwa idea nzuri

Ila inabidi uifanyie maboresho kidogo

Game yako 'king' haitembei inacheza kama kete ya kawaoda wakati imapaswa kutembea
Asante kwa mrejesho. inategemea Aina ya sheria uliyochagua. Inaonesha umechagua sheria ya American, ila kwa Sasa nimeliboresha sana nimeongeza sheria nyingi ikiwepo ya Tanzania, chagua hapo ya Tanzania utaweza kucheza kwa sheria zetu. Pia nimeongeza sehemu ya mashabiki wanaweza kuangalia mechi live vinazoendela kuchezwa. pia unaweza angalia game zilizopita pia.
 
Game limeboreshwa sana. Kwa sasa unaweza kufanya yafuatayo
  1. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani katika uwanja wa ushindani wa mtandaoni.
  2. Cheza na Marafiki – Unda mechi yako binafsi na mshirikishe rafiki yako (game code) ili mcheze pamoja kutoka popote mlipo.
  3. Aina Mbalimbali za sherka (Game Variants) – Chagua sheria unazopenda, ikiwemo ya Tanzania, Kimataifa, Marekani, na nyinginezo nyingi.
  4. Cheza dhidi ya Akili Unde (AI)
  5. Ubao wa Wanaoongoza (Leaderboard) – Shindana na wenzako ili kupanda viwango na kuwa bingwa namba moja wa Kimataifa au Tanzania.
  6. Marudio ya Mechi (Match Replays) – Tazama michezo yako ya awali au michezo ya wachezaji bora ili kujifunza mbinu mpya na kuboresha uchezaji wako.
  7. Hali ya Kutazama (Spectator Mode) – Tazama mechi zinazoendelea moja kwa moja (live) kati ya wachezaji wengine.
 

Attachments

  • Screenshot_20260321_025045.png
    800.6 KB · Views: 26
Mkuu game lako linazingua, nimejaribu kucreate code kwa ajili ya friend match online lkn haikubali kuconnect, nikishare mtu anajoin ila kwangu inaandika tu game starting.

robbyl

 
Asante kwa mrejesho. Nfanyia kazi nitakujulisha
Nimejaribu kwangu naona inafanya kazi, anajoin kwa njia gani code au link? Pia ni game version gani maana mnatakiwa wote muwe na latest game version. Tafadali tuwasiliane inbox kwa msaada zaidi pia itanisaidia kurekebisha kwa urahisi
 
Your browser is not able to display this video.

Cheza drafti na wapinzani mtandaoni. Pia unaweza tazama mechi zilizopita. Pakua sasa playstore tafuta jina Backrow Rush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…