Gordon Technology
Member
- Apr 29, 2016
- 73
- 79
Contacts☎️0746373222
Kwa wale ambao wamefunga mifumo ya cctv camera kwa ajili ya ulinzi na pia una hitaji hata kama umeme ukikatika basi cctv camera ziendelee kufanya kazi basi suluhisho lako tunalo.
Sote tuna tambua kuwa umeme unapokatika basi cctv camera huzimika mpk pale umeme wa tanesco ukirudi ndipo zitaendelea kurekodi.
Hii ina maanisha kwamba mwizi au mhalifu anaweza kutumia mwanya wa kukatika kwa umeme ili aweze kufanya tukio/uhalifu.
Sio tu mwizi hata watu wako wa karibu kwa makusudi wanaweza kuzima umeme ktk main switch ili kufanya jambo lolote baya na kisha baada ya hapo wataiwasha main switch na hapo watakuwa wamekwepa ku rekodiwa na cctv camera za ulinzi.
Suluhisho hilo tunalo,tutakufungia mfumo wa UPS ambapo umeme ukiwepo basi mfumo huo huruhusu umeme wa tanesco kufanya kazi na ikitokea umeme umekatika basi mfumo huu automatically utachukua jukumu la kupeleka umeme ktk cctv camera zote mpk pale umeme wa tanesci utakaporudi ndipo mfumo utasimama na kuruhusu umeme wa tanesco uendelee kufanya kazi automatic.
Mfumo wa UPS upo wa uwezo tofauti kulingana na idadi ya cctv camera zako(differ due to size of your load).
Price: ni kuanzia 250,000/= kwa mfumo wa camera chache.
Wasiliana nasi kupata huduma hii na kupata ushauri wa kitaalamu juu ya cctv camera,electric fence,gps tracking,fire alarm system,access controll and time attendance,smart locks na mengine mengi tunatoa huduma.
Call/whatsapp ☎️0746373222
Instagram: gordon_technology
Tiktok : Gordon Technology
Facebook: Gordon Technology