back from uk.

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
asalam alekum wana javi nawasalimu. naombeni msaada wenu wa mawazo mi nina kaka yangu huwa anasafiri mara kw mara kwenda UK(wingezera) kioffice sasa ameniuliza ni v2 gani vidogo vidogo vinavyobebeka anaweza kuja navyo nikaviuza. nimejaribu kuangalia vi2 km simu lkn nimeona kutokana na hizi sim za wachina hakuna atakaye kubali kw bei hiyo mkononi.unakuta sim kule UK inauzwa 150,000 na huku dukan inauzwa 180,000. simu hii ukiiuza mkonon kw 165,000 hakuna atakaye chukua .....wanajamv naomba mnipe mawazo yenu ni vi2 gani naweza nikaleta vikatoka mkononi kw urahis mana vitu kule UK vina unafuu w bei ukilinganisha na huku TZ au kama kuna m2 atakua anahitaji kuoda some thing aniPM. Mie naishi dar Atsanteni.
 
asalam alekum wana javi nawasalimu. naombeni msaada wenu wa mawazo mi nina kaka yangu huwa anasafiri mara kw mara kwenda UK(wingezera) kioffice sasa ameniuliza ni v2 gani vidogo vidogo vinavyobebeka anaweza kuja navyo nikaviuza. nimejaribu kuangalia vi2 km simu lkn nimeona kutokana na hizi sim za wachina hakuna atakaye kubali kw bei hiyo mkononi.unakuta sim kule UK inauzwa 150,000 na huku dukan inauzwa 180,000. simu hii ukiiuza mkonon kw 165,000 hakuna atakaye chukua .....wanajamv naomba mnipe mawazo yenu ni vi2 gani naweza nikaleta vikatoka mkononi kw urahis mana vitu kule UK vina unafuu w bei ukilinganisha na huku TZ au kama kuna m2 atakua anahitaji kuoda some thing aniPM. Atsanteni.
Fikiria digital cameras kwa kuanzia maana UK nasikia ni cheap saana.
 
mimi ningependa kukushauri kama utajaribu vitu vya wanawake, cosmetics pia zinaweza zikalipa, cha muhimu uangalie quality, ila itategemea upo wapi ili uweze kuuza
 
Thnx mkuu. hiyo itakua poa coz kanambia vi2 vy elecronics ni bei nafuu sana.hv consuption y hizo camera inaweza ikawa mara kw mara au mpk cku za masikukuu?
 
mimi ningependa kukushauri kama utajaribu vitu vya wanawake, cosmetics pia zinaweza zikalipa, cha muhimu uangalie quality, ila itategemea upo wapi ili uweze kuuza

hah! bibie na huku upo? nakuonaga 2 kule kwnye malovedove any wayz ngoja niangalie mpango huo coz ht haukua kwnye akili yangu. dah lkn itanibidi nitafute an expert w kuniasist mana kupoint vy kisitaduu c mchezo. thnx a lot.
 
mimi ningependa kukushauri kama utajaribu vitu vya wanawake, cosmetics pia zinaweza zikalipa, cha muhimu uangalie quality, ila itategemea upo wapi ili uweze kuuza

yap. Mahereni, mabangili, cheni, saa za mikononi na makorokoro yetu yale.
 
rafiki labda jaribu vifaa vya computer kma vile external harddisk, usb(flash),lamu, graphic card, na game kma vile playstation 3.
 
Thnx mkuu. ngoja niangalie uwiano w bei z huku n huko.
 
biashara kubwa kiasi gani??

binafsi naoana vitu vya electricity vitalipa
microwave, dishwashers, washing machine etc...
 
Vidogo vidogo vinavyobebeka kiurahis kwnye mabegi.
 
Ndg jaribu vitu vidogo kama flash, memeory cards na card readers,pia laptops na digital cameras siyo mbaya.
asalam alekum wana javi nawasalimu. naombeni msaada wenu wa mawazo mi nina kaka yangu huwa anasafiri mara kw mara kwenda UK(wingezera) kioffice sasa ameniuliza ni v2 gani vidogo vidogo vinavyobebeka anaweza kuja navyo nikaviuza. nimejaribu kuangalia vi2 km simu lkn nimeona kutokana na hizi sim za wachina hakuna atakaye kubali kw bei hiyo mkononi.unakuta sim kule UK inauzwa 150,000 na huku dukan inauzwa 180,000. simu hii ukiiuza mkonon kw 165,000 hakuna atakaye chukua .....wanajamv naomba mnipe mawazo yenu ni vi2 gani naweza nikaleta vikatoka mkononi kw urahis mana vitu kule UK vina unafuu w bei ukilinganisha na huku TZ au kama kuna m2 atakua anahitaji kuoda some thing aniPM. Mie naishi dar Atsanteni.
 
Mahereni na mabangili vinaweza kushinda na zinazotoka China kwa bei?

atazingatia quality. Uzuri wa biashara ya makorokoro yetu ni rahisi kutushawishi kununua. Halafu hata kama kabatini yapo mia, sisi tunaendelea tu kununua.
 
Hapo kweli! ila kupoint vy kisista duu inaweza ikawa taabu mana mnunuaji mwenyewe manaume beyb atafute m2 huko amsaidie ....ngoja nikugongee bhana kicje kikapotea tena.
 
Jaribu na kuleta manukato ya kike na kiume hii nayo ni nzuri sana maana vingi bongo ni feki
 
Hapo kweli! ila kupoint vy kisista duu inaweza ikawa taabu mana mnunuaji mwenyewe manaume beyb atafute m2 huko amsaidie ....ngoja nikugongee bhana kicje kikapotea tena.

yapo maduka mengi ya kike wamiliki wanaume na wanapoint vitu vya ukweli.
Labda kama huyo hajui tu ila kuwa mwanaume sio sababu. Ila mbona kizuri kinaonekana especially kwa hivyo vitu ni rahisi.
 
Back
Top Bottom