BACK FROM BAN:Niliwamiss wana Chit Chat!

huko mkuu hakufai nami najiandaa kupakimbia naanza kutafuta pa kujibanza humu!!!

Ah,mkuu suleym,mie napenda kutembelea majukwaa karibu yote!
Kuna mada zinanigusa siasani,hivyo lazima nichangie,sema ndo hivyo tena,mara nyingine unajikuta umetoka nje ya mstari na kuambulia jela.
 
Last edited by a moderator:
Ah,mkuu suleym,mie napenda kutembelea majukwaa karibu yote!
Kuna mada zinanigusa siasani,hivyo lazima nichangie,sema ndo hivyo tena,mara nyingine unajikuta umetoka nje ya mstari na kuambulia jela.

mkuu Mpenda Yesu lile jukwaa la siasa kuna watu wanatia hasira kiasi unakikuta nje ya mstari mie kwa sasa nataka kuwa mtazamaji kwanza mana unaweza ukamtandika mtu za uso kwa maudhi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena
 
Last edited by a moderator:

Kwani ulikosa nini? Na ulikuwa unaasiliana kivipi na ma-mods nawe ulikuwa kifungoni?
 
Hivi huko huwa mnaonana na Baba V ?
 
Last edited by a moderator:

Mimi nilishafanyiwa fitna hapa na mzungu flani nikatupwa ban, yaani we acha tu. Ingawa ilibidi nije kivingine kwa muda, si unajua mjini shule?
All in all, karibu nyuma (welcome back) Mpenda Yesu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…