Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 #1 Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa! BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute! Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!} Nawashukuru kwa kipekee Invisible na timu yake kwa kunitupa jela,kwani kumeniongezea nidhamu! Nawashukuru marafiki wote wa CC,ambao baadhi walinipigia simu,kunitumia sms na kujumuika kivingine! NILIWAMISS SANA!! cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others! Tulisongeshe kwa pamoja! MUCH LOVE! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa! BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute! Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!} Nawashukuru kwa kipekee Invisible na timu yake kwa kunitupa jela,kwani kumeniongezea nidhamu! Nawashukuru marafiki wote wa CC,ambao baadhi walinipigia simu,kunitumia sms na kujumuika kivingine! NILIWAMISS SANA!! cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others! Tulisongeshe kwa pamoja! MUCH LOVE!
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Mar 20, 2013 #2 Habari yako mkuu! Ulikua server namba ngapi? ah ah.. Karibu tena Mpenda Yesu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Mar 20, 2013 #3 karibu..........usirudie kosa ukarudishwa tena jela.
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Mar 20, 2013 #4 Karibu tena mwanawane! Kakalie kiti chako pale pa sikuzote na please endelea kumpenda Yesu.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 20, 2013 #5 Karibu sana & pole kwa kutumikia kifungo
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #6 manoah said: Habari yako mkuu! Ulikua server namba ngapi? ah ah.. Karibu tena Mpenda Yesu Click to expand... Ah! Ahsante sana ndugu yangu manoah! Nilikuwa server na.3A. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
manoah said: Habari yako mkuu! Ulikua server namba ngapi? ah ah.. Karibu tena Mpenda Yesu Click to expand... Ah! Ahsante sana ndugu yangu manoah! Nilikuwa server na.3A.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #7 sister said: karibu..........usirudie kosa ukarudishwa tena jela. Click to expand... Ahsante sana sister. Shida siasani ndiko kunaniponza! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister said: karibu..........usirudie kosa ukarudishwa tena jela. Click to expand... Ahsante sana sister. Shida siasani ndiko kunaniponza!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #8 Arushaone said: Karibu tena mwanawane! Kakalie kiti chako pale pa sikuzote na please endelea kumpenda Yesu. Click to expand... Ahsante sana Prezidaa Arushaone! Nitaendelea kumpenda Yesu siku zote za maisha yangu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Karibu tena mwanawane! Kakalie kiti chako pale pa sikuzote na please endelea kumpenda Yesu. Click to expand... Ahsante sana Prezidaa Arushaone! Nitaendelea kumpenda Yesu siku zote za maisha yangu!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #9 sweetlady said: Karibu sana & pole kwa kutumikia kifungo Click to expand... Ahsante sana mama nitonye,mama ya mutoto ya Nicas Mtei! Nimekaribia. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sweetlady said: Karibu sana & pole kwa kutumikia kifungo Click to expand... Ahsante sana mama nitonye,mama ya mutoto ya Nicas Mtei! Nimekaribia.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Mar 20, 2013 #10 Mpenda Yesu said: Ahsante sana mama nitonye,mama ya mutoto ya Nicas Mtei! Nimekaribia. Click to expand... Tuko pamoja Mpenda Yesu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mpenda Yesu said: Ahsante sana mama nitonye,mama ya mutoto ya Nicas Mtei! Nimekaribia. Click to expand... Tuko pamoja Mpenda Yesu
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,345 Mar 20, 2013 #11 Hayaaa karibu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,633 Mar 20, 2013 #12 Hapa namuona mkuu Invisible akikuchomoa kutoka kwenye SEVA za JF... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Mar 20, 2013 #13 Haya karibu!
Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 511 Mar 20, 2013 #14 Pole sana! Umeenda kuoga kwanza lakini?? Usje ukawa kama mwenyekiti wa jukwaa fulani hivi!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #15 sweetlady said: Tuko pamoja Mpenda Yesu Click to expand... Much Love sweetlady Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #16 Chimbuvu said: Hayaaa karibu Click to expand... Thanks Chimbuvu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #17 watu8 said: Hapa namuona mkuu Invisible akikuchomoa kutoka kwenye SEVA za JF... Click to expand... Ha ha ha! Hujatulia wewe watu8! charminglady mzima huko likizoni? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: Hapa namuona mkuu Invisible akikuchomoa kutoka kwenye SEVA za JF... Click to expand... Ha ha ha! Hujatulia wewe watu8! charminglady mzima huko likizoni?
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #18 Kipipi said: Haya karibu! Click to expand... Naomba nikilambe hicho Kipipi! KIDDING!! Thanks bibie! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 20, 2013 Thread starter #19 Yegoo said: Pole sana! Umeenda kuoga kwanza lakini?? Usje ukawa kama mwenyekiti wa jukwaa fulani hivi! Click to expand... Una utani na Baba V wewe Yegoo! Nimejichovya kwenye ziwa nyasa tayari. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Yegoo said: Pole sana! Umeenda kuoga kwanza lakini?? Usje ukawa kama mwenyekiti wa jukwaa fulani hivi! Click to expand... Una utani na Baba V wewe Yegoo! Nimejichovya kwenye ziwa nyasa tayari.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Mar 20, 2013 #20 Karibu sana!