Hiyo fani inahusu Sanaa za matamasha na maonyesho.
Mfano: fiesta,nyama choma festivals,mwenge,sherehe za uhuru n.k
Ukisomea hii fani Unaweza fanya kazi Kama
1. promota michezo na burudani mbalimbali Kama ngumi,muziki n.k
2. meneja wa wasanii mbalimbali wa muziki,injili n k
3. Mshereheshaji wa matamasha mbalimbali (yaani MC) ,
4. meneja wa harusi,misiba n.k,
5. Kiserikali Unaweza ajiliwa kama mtu wa BASATA, kamati za michezo, kamati za maafa, kamati za sherehe n.k