E Efrem de fikirizzle Member Joined Oct 10, 2017 Posts 33 Reaction score 5 Oct 19, 2017 #1 Wakuu nimechaguliwa course iyo IFM... Kwa mwenye ufaham au nikabadilishe..., Naomben ushauli
Y Yitosha Member Joined Jun 12, 2017 Posts 13 Reaction score 15 Oct 19, 2017 #2 Efrem de fikirizzle said: Wakuu nimechaguliwa course iyo IFM... Kwa mwenye ufaham au nikabadilishe..., Naomben ushauli Click to expand... Ni program nzuri tu nashauri ukaisome ,masuala ya hifadhi ya jamii bado yanahitaji wataalamu
Efrem de fikirizzle said: Wakuu nimechaguliwa course iyo IFM... Kwa mwenye ufaham au nikabadilishe..., Naomben ushauli Click to expand... Ni program nzuri tu nashauri ukaisome ,masuala ya hifadhi ya jamii bado yanahitaji wataalamu
Lello199 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 1,387 Reaction score 3,556 Oct 19, 2017 #3 Mkuu hao ni sungusungu
mandela2 Senior Member Joined Oct 3, 2017 Posts 100 Reaction score 31 Oct 19, 2017 #4 Ivi inawezekana kubadili courz kutoka Bsc physics kwenda Bsc nursing kama una vigezo na kama kozi hizo zipo chuoni??? Naomben msaada
Ivi inawezekana kubadili courz kutoka Bsc physics kwenda Bsc nursing kama una vigezo na kama kozi hizo zipo chuoni??? Naomben msaada
E Efrem de fikirizzle Member Joined Oct 10, 2017 Posts 33 Reaction score 5 Oct 19, 2017 Thread starter #5 mandela2 said: Ivi inawezekana kubadili courz kutoka Bsc physics kwenda Bsc nursing kama una vigezo na kama kozi hizo zipo chuoni??? Naomben msaada Click to expand... Yaah...kunauwezekano mkuu...bt kitokana na chuo kuna vyuo vingine kubadiri coz wanazingua sana
mandela2 said: Ivi inawezekana kubadili courz kutoka Bsc physics kwenda Bsc nursing kama una vigezo na kama kozi hizo zipo chuoni??? Naomben msaada Click to expand... Yaah...kunauwezekano mkuu...bt kitokana na chuo kuna vyuo vingine kubadiri coz wanazingua sana
E Efrem de fikirizzle Member Joined Oct 10, 2017 Posts 33 Reaction score 5 Oct 19, 2017 Thread starter #6 Yitosha said: Ni program nzuri tu nashauri ukaisome ,masuala ya hifadhi ya jamii bado yanahitaji wataalamu Click to expand... Mkuu...iyo coz cjuh ata ina usu nn...kama unaufaham nisaidie plz
Yitosha said: Ni program nzuri tu nashauri ukaisome ,masuala ya hifadhi ya jamii bado yanahitaji wataalamu Click to expand... Mkuu...iyo coz cjuh ata ina usu nn...kama unaufaham nisaidie plz
E Efrem de fikirizzle Member Joined Oct 10, 2017 Posts 33 Reaction score 5 Oct 19, 2017 Thread starter #7 Lello199 said: Mkuu hao ni sungusungu Click to expand... Duuh[emoji33] ..koo mkuu unanishaur nikachange sio
Lello199 said: Mkuu hao ni sungusungu Click to expand... Duuh[emoji33] ..koo mkuu unanishaur nikachange sio
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Oct 19, 2017 #8 MKUU JANA NIMEKUJIBU VIZURI NIKAKUPA UULIZE SWALI LEO UMETOA TENA THREAD NYINGINE?
E Escrowdavid Member Joined Sep 29, 2017 Posts 5 Reaction score 2 Oct 19, 2017 #9 Nitafute kwa namba hii,0658 18 6020, nimesoma course hii hapo IFM ,Nitakueleza mengi zaidi ila jua tu ni kozi nzuri.
Nitafute kwa namba hii,0658 18 6020, nimesoma course hii hapo IFM ,Nitakueleza mengi zaidi ila jua tu ni kozi nzuri.