BACHELOR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION,,

BACHELOR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION,,

Ivi inawezekana kubadili courz kutoka Bsc physics kwenda Bsc nursing kama una vigezo na kama kozi hizo zipo chuoni??? Naomben msaada
 
Ivi inawezekana kubadili courz kutoka Bsc physics kwenda Bsc nursing kama una vigezo na kama kozi hizo zipo chuoni??? Naomben msaada
Yaah...kunauwezekano mkuu...bt kitokana na chuo kuna vyuo vingine kubadiri coz wanazingua sana
 
MKUU JANA NIMEKUJIBU VIZURI NIKAKUPA UULIZE SWALI LEO UMETOA TENA THREAD NYINGINE?
 
Nitafute kwa namba hii,0658 18 6020, nimesoma course hii hapo IFM ,Nitakueleza mengi zaidi ila jua tu ni kozi nzuri.
 
Back
Top Bottom