Bachelor of science in Physiotherapy

Bachelor of science in Physiotherapy

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
kweli mtu akimaliza diploma ya CO anaweza kusoma degree hii?ni miaka mingapi na vyuo vinavyoitoa vpo vngapi Tz.?msaada
 
Nahisi kuna uwezekan vyuo muhas,kcms, na bugando
 
Inawezekana.Hiyo course ya Physiotherapy kwa hapa Tanzania inatolewa chuo cha KCMUCo pekee,Pia ni miaka minne kwa wale direct from school na miaka mitatu kwa wale Inservice.
 
Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali
 
Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali
Sipo idara ya afya lakini ni nzuri sana hiyo kozi, na sina shaka la kuhusu ajira.
 
Back
Top Bottom