Wakuu mdogo wangu kachaguliwa hizo DEGREE program Nursing ni Udom na Bugando na Lab technology ni KCMC anataman kujua asome hipi na kwanini...
Ufahulu wake alikuwa na Division 1:9
Phy D, Chemi B, Bios C BAM D
Base ikiwa ni....
1. Soko la ajira
2. Kujiajiri
3. Competence base
Na je kwa ufahulu huo anaweza badili kwenda MD au Pharmacy
Karibuni kwa msaadaa