BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY

Gabriel mtui

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
10
Reaction score
9
Naombeni msaada wana jamii mwenye kuifahamu vizur programme tajwa hapo juu na fursa zake tafadhali.
 
Ngoja waje wale majamaa wa CONAS waanze kusema pagumu
 
Acha kupoteza muda mdog wangu kasome information technology pale mzumbe ya morogoro utani shukuru.
Au kama vip kapige environmental health science pale muhimbili.

Ukiona jau nenda mweka kapige wildlife management

Ukishidwa njoo tushike chalk.
 
soma kozi ambayo unaweza ukaajirika na baadaye ukajiajiri lolote likitokea.
 
Acha kupoteza muda mdog wangu kasome information technology pale mzumbe ya morogoro utani shukuru.
Au kama vip kapige environmental health science pale muhimbili.

Ukiona jau nenda mweka kapige wildlife management

Ukishidwa njoo tushike chalk.

Akishindwa kabisa aende veta.
 
Yeah. Kwa bongo yetu hii hayo ma microbiology, ma parasitology na mengine mengi ya hivyo ni ku lose time tu

Yawezekana ana mjomba wa kumshika mkono ila kama ni mtoto wa mkulima aache kupoteza muda.
 
hizo comments, anyway kasome unacho penda usije jutia ukikosa ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…