Yeyote unaweza kufundisha?????sasa kuna haja gani ya waalimu kama engineer, mhasibu,doctar anaweza kufundisha??? Ualimu n professional ya MTU sio kila MTU anaweza kufundisha...tengua kauli
Blazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
Sijasema kama profession mkuu, ni kwamba ajira za baadhi ya course kama hizo ni kitendawili kwa nchi yetu hivyo basi graduates huenda kufundisha kwasababu wanafaham basics zote
yapo mambo mengi unaweza ukafanya na bsc in mathematics Kama kuwa data analyst or data scientist, operational researcher, statistician, financial analyst, investment analyst na kufundisha na vingine vingi
ila ina market zaid Kama utajiendeleza na masters
Komaa