costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
Unakua mwanamahesabu mkuu wa serikali ....kazi ni kupata kaziiNAOMBENI kuulza coz hii inahusiana na nin na iko marketable kwa kiac gan
AhsanteWana takwimu hao
Kwa serikalini bodi ya takwimu
Ila pia kwa sekta binafsi pia kuna ajira..
Mwanamahesabu mkuu wa serikali?hiki cheo ndo nakisikia leoUnakua mwanamahesabu mkuu wa serikali ....kazi ni kupata kazii
Bachelor of art in history sasa huo ni ualimu????? Koz yeyote ya ualimu lazima iwe na eduction mfano;bachelor of art with or in eduction...na kuendeleaNi ualimu huo, huna tofauti na wa bachelor of arts in history au bachelor of general science.. pole sana ila muda unao ukifika chuo badili course
Blazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husikaBachelor of art in history sasa huo ni ualimu????? Koz yeyote ya ualimu lazima iwe na eduction mfano;bachelor of art with or in eduction...na kuendelea
Sio ualimu . Ualim lazima utakutana na neno Education and not otherwise. Bsc_Education(Maths), Bachelor of Education in Science(Maths). , Bachelor of Education (Mathematics) in Mathematics .Ni ualimu huo, huna tofauti na wa bachelor of arts in history au bachelor of general science.. pole sana ila muda unao ukifika chuo badili course
Kufundisha yeyote anafundisha. Lakini sio Mwalimu as professional.Blazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
Yea ni kweli sisemei as profession ni kwamba tu hakuna sana ajira kwa nchi yetu kwenye hizo courses so wengi hukimbilia kufundisha ndio maana nimeona nimshauri mtoa uzi kwamba kama hatapenda ayo yamtokee then akifika chuo ahame course chapSio ualimu . Ualim lazima utakutana na neno Education and not otherwise. Bsc_Education(Maths), Bachelor of Education in Science(Maths). , Bachelor of Education (Mathematics) in Mathematics .
Ila hawana taaluma ya kufundisha acha kushupaza shingo hyo kozi haiusiani na ualimu kama ni hivo na wale wa bsc biology kumbe wanatakiwa kufundisha mbona tunakula nao majani mtaaniBlazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
utakuwa mwalimu wa hesabu shule za sekondari.NAOMBENI kuulza coz hii inahusiana na nin na iko marketable kwa kiac gan
Angalia bandiko #15 nilivyoelaborateIla hawana taaluma ya kufundisha acha kushupaza shingo hyo kozi haiusiani na ualimu kama ni hivo na wale wa bsc biology kumbe wanatakiwa kufundisha mbona tunakula nao majani mtaani
Siyo Statistician huyo, huyo ni Mathematician. Ningemshauri asome Statistics kuliko Mathematics.Wana takwimu hao
Kwa serikalini bodi ya takwimu
Ila pia kwa sekta binafsi pia kuna ajira..
Sio kila kitu kinachihesabiwa ni helaMwanamahesabu mkuu wa serikali?hiki cheo ndo nakisikia leo
au ulimaanisha mkaguzi mkuu wa hesabu?kama ni huyo kitaaluma anatakiwa awe Accountant