Bachelor of science in Mathematics anajairiwa kama mwalimu???
Aisee hii ni mpya na sijawahi ona,
Siamini kabisa kama serikali inawaajiri hawa jama kama walimu, hawasomi koz yeyote ya education chuon, kuandika lesson plan, scheme of work, wala field hawaend mashulen kufundisha sasa atakuwaje mwalimu???
Kama huyo jamaa kaajiriwa basi n jipu moja hatari tena limeiva
Na ninauhakika atakuwa kawekwa ju juu huko, hakuna wa kuajir watu kama hao kama walimu
Aisee kumbe tz imefika huku,
Dogo kama unataka kusoma ualimu, soma koz yenye education, hizo nyingine hazihusian na ualimu kabisa
Bacholer of science with education
Bachelor of education in science
Bachelor of education in mathatiics
N. K hizo ndio koz za ualimu
Koz yeyote ya ulaimu ina neno
EDUCATION, usije kujutia badae