Bachelor of science in information system

Waragah

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
26
Reaction score
16
Wakuu poleni kwa majukumu bila shaka mnaendelea na majukumu ya kila siku.

Kuna mdogo wangu ana Diploma ya information technology (IT).

Naomba kuuliza kama kwa diploma hyo anaweza soma bachelor of science in health information system.

Natanguliza shukurani.
 
Ndio anaweza bila shida. Cha msingi awe na GPA inayo mruhusu kusoma degree.
 
Anaruhusiwa akiwa na kuanzia na GPA ya 3.0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…