Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,247
- 12,766
Jf ni zaidi ya google hilo halina mjadala. Kozi tajwa japo juu inatolewa na Open University of Tanzania binafsi naiona kama ina future nzuri kwa maana ya kuona neno "ENERGY" na sio zaidi,wakuu ebu nisaidie kufahamu uzuri na ubaya wake mf,soko lake la ajira,uwezekano wa kujiajiri,graduate wa kozi hii anaweza ku-Specialize katika maeneo yapi! Asante na weekend njema.