bab N
Member
- Jul 29, 2016
- 75
- 35
Wadau habari zenu ,naombeni ushauri kwa wenye uwelewe wa course niliyoitaja hapo juu ,nina mdogo wangu kaomba course hiyo in udsm ,
Kwa wenye experiences ya kozi hiyo nakaribisha ushauri ,sana nilihitaj kufahamu kazi zake (career) na pia marketing yke,
Lkn pia kma nitapta utafauti wa course hiyo na ile inayoitwa electronic and telecommunications engeneer.
Ahsanteni