Bachelor of science in Economics - Economic policy and planning

Ni nzuri, lakini si he kitoto. Akaze buti tu maana akileta mzaha pale utashangaa semester ya kwanza tu dogo kadisco
 
Ni nzuri sana, lakini kama Mkuu Atlantis alivosema hapo juu akienda akakazane sana. Haina tofauti kubwa na Economics, tofauti kama sikosei ni somo moja tu ambalo nalo kimsingi ni lile lile(ata share darasa na economics). Kama hana msingi nzuri wa uchumi ajifirikirie upya
 
Ni kozi nzuri, nilifanya undergraduare. Nitafute nimpe mbinu za kufaulu econometrics na kudeal na Dr Sesabo
 
Ni kozi nzuri, nilifanya undergraduare. Nitafute nimpe mbinu za kufaulu econometrics na kudeal na Dr Sesabo
hahaha! huyo mama anafaa kumrithi Ndalichako pale baraza. Nafikili econometrics mara nyingi anafundisha Padre ama Amri
 
Ni course nzuri kwa kuajiriwa na pia kukusaidia kujiajiri ktk projects mbalimbali,ila hesabu ndo zilipozaliwa na uchumi kwa kiasi kikubwa,Kuhusu soko la ajira itategemea na upepo wa ajira pindi akimaliza,alichorudi nacho kichwani na uwezo wake wa kuhimili interview mbalimbali.
 
Ila ategee vipind vyote lakini sio econometrics, hilo somo ni kama hesabu za kigiriki, skewness and kurtosis
 
Ni kozi nzuri, nilifanya undergraduare. Nitafute nimpe mbinu za kufaulu econometrics na kudeal na Dr Sesabo
Hbr mkubwa,naamin u mzima .mm ni kjn niliehitimu kidato cha sita nimekuja kukuomba unipatie mbinu na ufahamu kdg kuhusu kozi hii ya epp..economic policy and planning
 
Back
Top Bottom