thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,436
Nawakumbusha tu vijana wa form six mnaoomba nafasi msisahau kuomba na hii programme wengi wanaidharau lakini kadri miaka inavyoenda na ndo inazidi kutambulika na watu kuona umuhimu wake.....karibuni sana kwenye uwanja wa wakemia....mwenye swali uliza