Hamna kaka wanapata ajira nzuri tu haoHabarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
Hio Bachelor peke yake haitoshi kuwa mwalimu, hawasomi course za ualimu, ajipange akimaliza akasomee ualimu.Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
Uhandisi na hata udokta piaZipi mkuu
Bruhπ€£π€£π€£π€£ uko serious?Uhandisi na hata udokta pia
Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM
ππππ€£π€£π€£πππKabisaBruhπ€£π€£π€£π€£ uko serious?
Hapana broo haiko ivoπ€£π€£π€£ππππ€£π€£π€£πππKabisa
Bruh
Huyo ataenda kufundisha secondary ππππ€£π€£πHapana broo haiko ivoπ€£π€£π€£
Sio walimu hao, hao ni wanasayansiπ€£Huyo ataenda kufundisha secondary ππππ€£π€£π
Bruh ni Sawa na Broo, ni uandishi tuuBru ndio nini?