Wakuu naomba mbili tatu za hii kozi
Soko lake kwa Tanzania
Ajira zake ni zipi na wapi?
Ugumu wake
Je Kama kunauwezekano wa kubadilisha na kwenda kozi nyingine?
mkuu mimi nilitaka nisome Agrobusiness au Irrig. engineering but nashukuru nilikosa ingawa bado nina stress za ajira lakin ningekuwa na stress zaidi kama ningesoma hizo vitu