Wadau,
Nilikuwa naomba ushauri wenu hii kozi imekaaje kwenye soko la ajira na pia uyu mtu anaye soma hii kozi akimaliza anaweza ajiliwa wapi, na pia nimeona sehemu moja tu inapotolewa hii kozi ambapo ni SUA peke yake, je kuna mahali pengine mtu kaona inapotolewa hii kozi?
Msaada please wadau