God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Hawezi kuwa mwalimu
Hii kozi application yake ni narrow sana
Kama umesoma science kwani huombi koz kama
Bsc ed
Bpharm
Bsc comp science
Bsc architecture
Umesema knowledge ya chem unaeza tumia viwandani alafu unasema kwa hapa kwetu haina tija?? Ina maana hapa kwetu hamna viwanda??? Na kama haina tija ilianzishwa ya nini???The same case
Hizo kozi hazimuandawi mtaalamu yeyote ( proffesional)bali ni mwenye knowledge ya chemistry ambayo unaweza itumia viwandani
Kwa nchi kama zetu kozi kama hy haina tija kbs
Bora kozi kama
Bsc.Microbiology
Bsc. In biotechnology
Umesema knowledge ya chem unaeza tumia viwandani alafu unasema kwa hapa kwetu haina tija?? Ina maana hapa kwetu hamna viwanda??? Na kama haina tija ilianzishwa ya nini???
Je microbiology (possibly ya udsm) na hiyo biology zina tofauti gani??? Acha kudanganya watu.
Huyo nahisi anasoma kozi mojawapo kati ya hizo ndio maana anaponda me nimemshangaa kiukwel kz Ud chemistry ipo na baada ya udom kuanzishwa hiyo kozi ikawepo pia sa sijui jamaa ana evidence zp za kusema wakemia hawaitajiki nchi hii
Sasa tz kuna viwanda vingapi?
Tena si viwanda vya aina zote inahitaji mtu wa aina hy
Uje hapa tunaamgalia kitu chenye wide application na fursa kubwa za ajira
Kuanzisha kozi kwa chuo ni suala la jengine na upatikanaji wake ni suala lengine
Usisome kitu ili nawe uitwe ina shahada
Naona bado haulewi unachoongea. Kaa tuliza akili ndio uongee.[
Akili zako haziwezi kuelewa wenye uelewa wameelewa
naifananisha kama mkemia mkuu wa .wa serikali alisoma chemisrty, sasa huyo mwana biolojia sijui anakuwa nani! why usisome nursing mkuu? au education kabisa maana nawaona watu bsc mathematics, chemistry, biology wanakosa kazi wanafundisha tuuu baada yakusugua gaga,
Duuh me sidhani mbona kuna watu wengi nawafahamu wapo TBS na wengine wapo migodini huko wamesoma chemistry... labda GPA yako iwe ya chini ndio utasugua gaga
Duuh me sidhani mbona kuna watu wengi nawafahamu wapo TBS na wengine wapo migodini huko wamesoma chemistry... labda GPA yako iwe ya chini ndio utasugua gaga
Kwa TBS ni sawa lakini kwa migodini nafasi ni finyu sana asee advantagr wanapata wenye fani meterllogical sana kitengo hicho cha chemical.