wankyomimi
Member
- Sep 11, 2018
- 46
- 36
Jaman koz yeyote ya ualimu lazima ina neno education so, iyo sio ualimu n mwana biologia, kwa tz ya sasa kupata kazi ya iyo kitu inahitaji connection kubwa tu,so jipangeWengi kwa Tz huishia kuwa waalimu au wanafoji foji unapelekwa misitu.
Ninafahamu. Ualimu ina special courses ila hawa wa Biology au sijui Physics kwa Tz huishia kuwa waalimu tena in private schools japo c mahali sahihi kwao.Jaman koz yeyote ya ualimu lazima ina neno education so, iyo sio ualimu n mwana biologia, kwa tz ya sasa kupata kazi ya iyo kitu inahitaji connection kubwa tu,so jipange
Nmesoma hiyo kozi. Nicheki pmjamani mlosoma hi koz au mnaofahamu ikoje nisaidieni manake nimekosa food science halafu nataka nisome hii kama daraja la kufikia kweny food science kupitia hii kozi
wenye ushauri wowote nisaidieni mawazo yenu
Itakua poa uweke hapa kwa faida ya wote sorry lakini.Nmesoma hiyo kozi. Nicheki pm
nimefika mpaka huko google unaposema mkuu lakini naona google inanipa uzuri wa bsc in biology ambapo kiuhalisia sidhani kama kwa tanzania ni applicable......ni kozi nzuri ila nimegundua hii ni tanzania na bado hatujafikia level ya kuona na kuwezakuutumia uzuri wa hii kozi.....na ndo maana post nyng humu zinasema kazi ni ngumu kupataMkuu kwa muda uliosubii mpaka sasa ni kwamba hutapata jibu mapema.
Ni jambo zuri kushea vitu humu na wenzio ili uwasidie na usaidiwe pia as unaingiza jambo jipya kichwani.
Unaweza kuingia google na kuandika application od Bachelor of Science in biology halafu utaona hiyo bachelor inatumika wapi.
Nategemea uwe na vyanzo mbalimbali vya kupata msaada! JF pekee haitakutoa.
Ni kweli mimi nakushauri usome kitu ambacho unaweza kujitegemea mambo ya kuajiriwa achana nayo kabisa.nimefika mpaka huko google unaposema mkuu lakini naona google inanipa uzuri wa bsc in biology ambapo kiuhalisia sidhani kama kwa tanzania ni applicable......ni kozi nzuri ila nimegundua hii ni tanzania na bado hatujafikia level ya kuona na kuwezakuutumia uzuri wa hii kozi.....na ndo maana post nyng humu zinasema kazi ni ngumu kupata
tunaomba mwongozo mkuuNmesoma hiyo kozi. Nicheki pm