Ukifika chuoni unauwezo wa kubadilisha.
Mimi mwenyewe nilichaguliwa course ambayo sikuwa naitaka nikasema okay nikafanya admission kisha nikaandika barua kuomba kubadilishiwa nikakubaliwa nikasoma nilichokuwa nataka.
Tanzania mfumo wetu wa elimu mbovu sana. Na wasomi wengi hapa Tanzania hawasomagi kile wanachokitaka ndio maana hata wanapohitimu inakuwa ngumu kupata kazi au kujiajiri na hata wakiajiriwa hawana ufanisi kutokana na kupangiwa kitu cha kusomea na sio kusomea kitu wanachotaka.
Ahsante kwa ushauri
Nitaandika barua ya wazi kwa bunge la Tanzania waangalie hili swala maana ndio chanzo kikubwa na kudorora kwa maendeleo nchini.
Sent using
Jamii Forums mobile app