Mkuu nadhani bado hujatoa jibu la swali moja kwa moja,baada ya kumaliza atahang mtaani tu ..hiyo course ni kama zile bachelor za chemistry ....akimaliza mwambie asome postgraduate ya education inatolewa Udom pale pale au anaweza kubadilisha mazingira aje kusoma postgraduate udsm. ...
Anaulza baada ya kuapply na kupangwa kabsa hzo details zltakiwa awe nazo b4 hata hajaaply, anyway ngoja nmuulze jamaang alyesoma hyo faculty ntaleta mrejesho though namuona anahang tu street mwaka wa pl nw tangu ahtimu.Habari wadau wa Elimu, kuna dogo amepangwa chuo cha UDOM
(Bachelor of science in biology)
Sasa anahitaji kujua hii faculty atabase kwenye ishu gani hasa baada ya kumaliza masomo?
HahahahaaaaaAnaulza baada ya kuapply na kupangwa kabsa hzo details zltakiwa awe nazo b4 hata hajaaply, anyway ngoja nmuulze jamaang alyesoma hyo faculty ntaleta mrejesho though namuona anahang tu street mwaka wa pl nw tangu ahtimu.
HahahahaaaaaAnaulza baada ya kuapply na kupangwa kabsa hzo details zltakiwa awe nazo b4 hata hajaaply, anyway ngoja nmuulze jamaang alyesoma hyo faculty ntaleta mrejesho though namuona anahang tu street mwaka wa pl nw tangu ahtimu.
utaenda kufundisha uzazi wa mpango vijijini na namna ya watu kujikinga na kipindupindu,malaria na kichocho kwa kujitoleaHahahahaaaaa
Ndio elimu yetu ya bongo, wengi hujikuta ambapo hawakutarajia sababu ya kukosa ushauri na dira ya nini afanye na wapi aelekee.
Nasubiri feedback mkuu maana nae anasubiri mrejesho kutoka kwangu.
watu tuko mtaani tunakupa fact sasa sijui ungependa ni coment kitu gani. subiri watakuja na wenginePoaa, but ungesoma vizuri thread ndio u comment, hii thread nimeiweka hapa jukwaani kwaniaba.
eh mzee SODOKA naona upo apo UDSM unamsubir kijana,aje asome.we unapiga nin apo mkuu?baada ya kumaliza atahang mtaani tu ..hiyo course ni kama zile bachelor za chemistry ....akimaliza mwambie asome postgraduate ya education inatolewa Udom pale pale au anaweza kubadilisha mazingira aje kusoma postgraduate udsm. ...
Pamoja sana mkuu, mawazo yako nitayawasilisha kama yalivyo.Anaweza pia kufanya kazi hata kwenye hifadhi as ecologists kama atapa nafasi maana hapo anasoma kuanzi macro hadi micro organism
Na Pia nilikuwa n.a. vijana kutoka UDOM wanaosoma hiyo course lake manyara national park walikuwa wanafanya field idara ya ecologia even if hawako deep ila wanakuwa n.a. idea fulani. Yangu ni hayo ila mwambie akapige kitabu sana
eh mzee SODOKA naona upo apo UDSM unamsubir kijana,aje asome.we unapiga nin apo mkuu?
ah ni sahih nadhani,ni kwa sababu ya utaratibu tu na sera za elimu ya nchi yetu au sis wenyew wahusika kutokujua tunasom,ili badae tuje kuwa nan? lakin mi nipo miongoni mwa hizo course unazozisema ila sitakaa nijutie kwa uamuzi wang wa kuamua kusoma course kam hyo kam yanayosemwa n kweli,kwa maana ni thaman ya kitu kusoma unapenda na una uwezo au uelewa nacho.Noo....mie ni veterani .. ..elimu ya bongo sio ya kukurupukia kuna course zingne zimewekwa chambo unaposhauriwa humu JF usijione kama unakatishwa tamaa ......unashauriwa na watu wenye uelewa na soko la ajira ...
There you are asilimia kubwa wengi wanejikuta kwenye nafasi ambazo hawakuzitarajia, kutokana na tangu awali hakujua anasoma awe nani, na asomee nini ili awezekufikia malengo yake.ah ni sahih nadhani,ni kwa sababu ya utaratibu tu na sera za elimu ya nchi yetu au sis wenyew wahusika kutokujua tunasom,ili badae tuje kuwa nan? lakin mi nipo miongoni mwa hizo course unazozisema ila sitakaa nijutie kwa uamuzi wang wa kuamua kusoma course kam hyo kam yanayosemwa n kweli,kwa maana ni thaman ya kitu kusoma unapenda na una uwezo au uelewa nacho.
Bsc Chemistry ni bonge la kozi ina ajira nying balaa, Kwa mkemia, mkuu wa serikali, TBS, RESEARCH INSTITUTE, TFDA, VIWANDA VYA CEMENT, BILA HUYU BWANA QUALITY YA CEMENT NI NOTHING, VIWANDA VYA MAJI, ZANUFA, KWA KIFUPI BSC CHEMISTRY ndio quality control wa kwenye viwanda mkuubaada ya kumaliza atahang mtaani tu ..hiyo course ni kama zile bachelor za chemistry ....akimaliza mwambie asome postgraduate ya education inatolewa Udom pale pale au anaweza kubadilisha mazingira aje kusoma postgraduate udsm. ...
Vipi kuhusu Bsc Biology?Bsc Chemistry ni bonge la kozi ina ajira nying balaa, Kwa mkemia, mkuu wa serikali, TBS, RESEARCH INSTITUTE, TFDA, VIWANDA VYA CEMENT, BILA HUYU BWANA QUALITY YA CEMENT NI NOTHING, VIWANDA VYA MAJI, ZANUFA, KWA KIFUPI BSC CHEMISTRY ndio quality control wa kwenye viwanda mkuu