Nicky nicky Senior Member Aug 20, 2011 106 9 Jan 18, 2014 #1 Naomba kufahamishwa ipi ni nzuri kusoma kulingana na soko la ajira la sasa na hata kujiajili pia.Nawasilisha.
Naomba kufahamishwa ipi ni nzuri kusoma kulingana na soko la ajira la sasa na hata kujiajili pia.Nawasilisha.
Maganga Mkweli JF-Expert Member Jul 14, 2009 2,089 829 Jan 18, 2014 #2 kwangu mimi ningeomba kujua una idea yeyote ya hizi kozi mbili...? ili tusaidiane kwenye hili kulijadili..
kwangu mimi ningeomba kujua una idea yeyote ya hizi kozi mbili...? ili tusaidiane kwenye hili kulijadili..