Soma syponsys hii hapa View attachment UDSM UG Programmes Synopsis New Version 2018-2019.pdfNilikuwa na swali kidg ngependa kujua
Kuna coz inatolew udsm inaitwa Bachelor of arts in public relatn and adiverts
Ngepend kujua hii inahusu nn?
Soko lake la ajira ?
wamalizao katk hii coz hufanya kazi katka sekta zip?
Hii hapa View attachment UDSM UG Programmes Synopsis New Version 2018-2019.pdfSamahan kidogo kwangu imefunguka page moja tu kama hutojali nirushie upya
Hahaha hapana nimeuliza tu ili kujua si kwamba kila kinachosrmekana bora ni bora sanausawa huu wa magu mmh coz za kubet hizo
sawa mkuu ila kozi hizo mmmh ndo interview mnakutana wat 400Hahaha hapana nimeuliza tu ili kujua si kwamba kila kinachosrmekana bora ni bora sana
Haha nd maendleo hayo baada y miak kadhaa kil mtu eng wa kilimosawa mkuu ila kozi hizo mmmh ndo interview mnakutana wat 400
acha tupambane ndugu taifa lisonge mbeleHaha nd maendleo hayo baada y miak kadhaa kil mtu eng wa kilimo
Hahahaha bongo bhna hapanaHiyo course inaendana na journalism na mass communication hivyo sio mbaya sana ila uwe na connection kadha wa kadha
ASAnt kwa kunijuzHiyo course inaendana na journalism na mass communication hivyo sio mbaya sana ila uwe na connection kadha wa kadha