Bachelor of art with education vs Bachelor of education special needs.

matics

Senior Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
133
Reaction score
81
Dogo ananiuliza nimushauri aende wap,Kati ya hzo kozi mbili,wajuzi shaulini hap, utaje na faida ya kila moja.
 
Hyo BAED ni sauti mwanza, hyo nyingne ni sauti tabora
 
Dogo ananiuliza nimushauri aende wap,Kati ya hzo kozi mbili,wajuzi shaulini hap, utaje na faida ya kila moja.
Nashauri aende Special needs, maana kila ajira ya Ualimu inayotangazwa kwa sasa lazima wachukuliwe waliosoma Sayansi na special needs ukilinganisha na walimu wengine ambao ajira yao ni Kubahatisha.
Vile vile kupata fursa za kujiendeleza kwa walimu wa special needs ni nyingi.
 
Asihangaike kwenda kokote, ashuke OSHA au Chuo cha bandari atafute kozi ya kusoma.
 
Nashauri aende Special needs, maana kila ajira ya Ualimu inayotangazwa kwa sasa lazima wachukuliwe waliosoma Sayansi na special needs ukilinganisha na walimu wengine ambao ajira yao ni Kubahatisha.
Vile vile kupata fursa za kujiendeleza kwa walimu wa special needs ni nyingi.
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom