Artificial Horizon
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 491
- 1,100
Tusubirie waliotutangulia mkuuWakuu ipi ni kozi nzuri kati hizi mbili BArch pale udsm na Environmental engineering ya ARU hasa katika kujiajiri..
Vilevile na changamoto za vyuo vyote, Kama maradhi,taaluma nk.
Natanguliza shukrani..
Tusubirie waliotutangulia mkuu
Kasome architecture ni rahisi kujiajiri.Wakuu ipi ni kozi nzuri kati hizi mbili BArch pale udsm na Environmental engineering ya ARU hasa katika kujiajiri..
Vilevile na changamoto za vyuo vyote, Kama maradhi,taaluma nk.
Natanguliza shukrani..
Naomba niingilie mada tafadhali...nahisi utakuwa unaelewa zaidi yangu kuhusu kuhama chuo...msaada wako tafadhali kaka..mimi nimepangiwa saut round ya kwanza mass communication lakini nikireject inakataa eti wameshaniweka kwenye system sasa msaada wa mawazo kaka je unaweza kuhamia chuo kingine kama IFM lakini coarse tofauti?? Naomba ushauri wako kakaArchitecture udsm. Ushauri wa bure.
Chukua kioo jiangalie halafu ujiambie Mimi ni falaHakuna course ya architecture UDSM.
Chukua kioo jiangalie halafu ujiambie Mimi ni fala
Chukua kioo jiangalie halafu ujiambie Mimi ni fala
Hadi Quantity Surveying ipo, Geomatics pia ipo. Mhandisi Mzalendo unakwama wapi?Hakuna course ya architecture UDSM.
Hadi Quantity Surveying ipo, Geomatics pia ipo. Mhandisi Mzalendo unakwama wapi?
Naona zipo basi zitakua course mpya za juzi juzi kabla university haijawa chuo....Hadi Quantity Surveying ipo, Geomatics pia ipo. Mhandisi Mzalendo unakwama wapi?
Kaka vipi msaada tafadhali..nilichaguliwa saut mass communication lakini sijaipenda..nikireject inakataa sasa naomba ushauri ..naweza kuhama kwenda IFM coarse nyingine?Hadi Quantity Surveying ipo, Geomatics pia ipo. Mhandisi Mzalendo unakwama wapi?
Kwa kipindi cha miaka mitatu au minne hii wameanzisha programmes za Ardhi na Muhimbili.Naona zipo basi zitakua course mpya za juzi juzi kabla university haijawa chuo....
Ni maendeleo naona wameamua kupambana na tawi lake la Ardhi.....View attachment 1203827
Mimi ni fala.
Imeanza lini hii course na ipo department gani?
Kwa kipindi cha miaka mitatu au minne hii wameanzisha programmes za Ardhi na Muhimbili.
Imebidi wakimbizane na kasi iliopo...
Nami ninacase kama yako.Kaka vipi msaada tafadhali..nilichaguliwa saut mass communication lakini sijaipenda..nikireject inakataa sasa naomba ushauri ..naweza kuhama kwenda IFM coarse nyingine?