Ndo hali halisi mwanawane hiyo! Si unaona hata kwa walimu tumeshatangaza kwamba hakuna tena kuajiri walimu wa art? Hii nchi wewe tuache tu! Ila kwa kozi yako hiyo "lenga mbali" wacha kulenga ajira za serikali! Hivi hujawahi kuiona fursa iliyopo kama ukifungua maabara yako? Nyingi zilizopo zinaendeshwa na vihiyo/vilaza.