Bachelor in computer scince vs bachelor in telecommunication

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,086
Reaction score
1,335
Msaada hapo maaana ukikosea kuchagua kozi nzuri now utajuta mbeleni na vyeti vyako. Naomba ushauri upande wa ajira maana kozi kama telecom inatolewa UDSM, UDOM na DIT lakini nimeangalia watu walioapply ni wachache sana tofauti na computer science . Je ni kweli telecom ni ngumu watu wanaogopa au?

Nina certificate ya ICT na Diploma ya Computer science nafikiri nikiwa na degree ya telecom itapendeza sana ushauri tu..
 
Soko lake limeharibika sana sasahiv, watu wa Asia wahindi, wachina, wafilipino na wengne wameharib sana Telecom
 
Kampuni nyngi za simu zime outsource shughuli zao kwa makampuni yaliyoko nje ya nchi,nasikia hata goti nap wameuza kazi kwa wahindi tena India
 
Mkuu piga computer science hiyo tele achana nayo soko lake bongo ni miyeshusho mpaka kujiajiri ni ishu.
 
Piga CS mkuu Telecom ime. drop sana wahindi,wakorea,Wachina wamevamia kazi ambazo hata wazawa tunaweza fanya, CS ina chance kubwa ya kujiajiri ukikomaaa personally
 
computer sayansi kwa watanzania hatuna huwezo wakuwa wabobezi wa kubwa kwenye mifumo tumebakia ile ya kupitia ndio maana ukiambiwa wana taka computer science lazima unajua c++,java,ruby,phython,c#,oracle,server programming,network programming,sql na huwe mtaalamu.hapo na kaelimu kako cha uvivu uwezi maana hapo kutafuniwa hakuna sio kama tele utabaki kufanya kazi ambazo umezikuta zimetokea computer science
 
Telecommunication kwasasa haina soko kabisa. Bora usome computer science.
 
Telecom kwa sasa .. ni ngumu man. 4 years alaf unasota kitaa
 
Ulete mrejesho ulienda kusoka kozi gani? Vipi changamoto zake chuoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…