boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
System yao haipo vizuri mdogo wangu walimtumia email kuwa hajamiti diploma requirements sababu haku apload NTA level 4. Ila cha achab kuna wenzake hawakuweka na hawajatumiwa email na pia kwwnye hii orodha hawapo.
Ikiwa hivi maana yake hamna tatizo
Hiyo sio yangu... ila mbona hajatumiwa ujumbe. Na hata miaka hiyo sisi tuna aply mbona hawajawahi kutaka hivyo vitu zaidi ya matokeo yako kutumwa na chuo? Au mfumo umebadilika?usishau ku upload certificate ya diploma na transcript
poeni vijana msiwe na pupa ukawa wanasema mambo yote poa tu. wote mtasoma tena bure.
Hiyo sio yangu... ila mbona hajatumiwa ujumbe. Na hata miaka hiyo sisi tuna aply mbona hawajawahi kutaka hivyo vitu zaidi ya matokeo yako kutumwa na chuo? Au mfumo umebadilika?
Kwa iyo ikigoma sehem ya kuweka admn no. Ndio kuna sehem ya ku attach chet?
mimi wakati nafanya application za madogo ndio ilikua inani direct yaani sio kama ilikua inagoma bali walikua kila step niliyokua nafanya wao ndio walikua wananiletea maelekezo ya kufanya ndio mpaka tukafika kwenye ku upload certificates na transcript za diploma
Aisee asante sana, lakini cha ajabu majina yamebadilishwa tena. Nimeangalia katika list jioni hii kwanza yamepungua kutoka 2900 hadi 1180 na mimi SIPO KATIKA LIST HIYO yaani naona wananichanganya tuu hadi sasa. Mi profile yangu inaonesha option ya Update na Remove. Selection za awali zote zipo kama nilivochagua. Sasa sijui kama nipo fresh au vp. SIJUI KWAKO INAONESHAJE SS IVI.