Baby swimming Pools available

Barraza

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
481
Reaction score
270
Tsh. 150,000


Zina ukubwa wa 180x140x60Cm... Wanaweza kuingia watoto mpaka watatu kwa wakati mmoja. Zipo za Kijani na Bluu

Unapatiwa na electric pump bure.

Free Delivery ndani ya Dar... 0767 382 415
 
Bei gani? Na nini kazi ya hiyo electric pump?
Bei ni laki moja na Hamsini elfu tu.
Hiyo electric pump kazi yake ni kujaza hewa kwenye pool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…