Nenda Mlimani City, kuna duka linaitwa Baby Shop, linatazamana na mlango wa kuingia Game Store.
Pia Kariakoo ule mtaa baada ya kituo cha Polisi Msimbazi. Jina la mtaa limenitoka. Lakini ni ule mtaa ulio kati ya kituo hicho cha polisi na kituo cha mafuta. Kwenye mtaa huo, kuna maduka ya vitu vya watoto mengi sana. Mwisho wa mtaa kuna duka linaitwa Singha, nalo lina vitu vya watoto.
Kila la heri.