>Baby kesho kutwa Birthday yangu na hapo ndo una wiki aumemuaproach-mimi ndo unakuwa umenipa tiketi ya kukupiga chini.
> Baby niongezee hela nikasuke- shenzi kabisa, siku zote nani anakupaga hrla ya kusuka wakati unadai uko single mwaka mzima.
> Baby simu yangu imeharibika.
Halafu nahisi hivi vitu viko damuni kwa wadada wengi. Anajikuta anaropoka tu bila hata kuwaza au kuangalia kuwa huyu mtu anaweza akawa future nzuri niende nae taratibu. Ukizalishwa ndo unaanza kulialia.
yamenikuta hayo baada ya kumgegeda tu,nikimpigia mara 'ho baby sikusikii spika ya cm yangu mbovu'nikamwambia bas tu sms kajibu keypad zinastak;anataka nn huyo kama si kuingia gharama,tuwe makini na hutu tusichana tumekaa kiwiziwizi tu.
wadada wengi wanaingia kwenye mahusiano lakini akili zao zipo kwenye warett tu ukija uku kwetu mawazo kwenye ule mlango wa jehanam basi shida tupu ndomana mahusiano hayadumu ndani ya mwaka wanaume utafikiri wapo ATM za NMB walivyopangwa.
Kwani mdau we ulitakaje???simu isiharibike wala anything negative kisitokee??inaonekana wewe ni selfish na haupo tayar kupenda boga na ua lake..
Nakushauri mfate angalia hiyo simu kweli kama ni mbovu.kama ni mbovu nunua mpya mfurahie mapenz yenu umfraishe na mwenzio.wanaume mmeumbwa kutoa na inapendeza sana mkitoa kwa moyo.