Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
mpaka kieleweke hatimaye mzizi wa fitna ukavunjwa
Umeona eeeehh watu tukisema tunaonekana wachimba mihogo wa kwedikwazu. haya sasa raisi wa wabeba box na wasiobeba box kapiga msumari hali imetulia. Sasa shoga wewe hujapewa uwaziri kule?