Baby Naomba...........

Mpe ni haki yake mbona mkiona wamependeza huko barabarani mnapagawa msione vyaelea.
 
Mpe ni haki yake mbona mkiona wamependeza huko barabarani mnapagawa msione vyaelea.

Mmmh,hata kama,,,,
Kusuka laki 2? Maisha yenyewe haya ya kitanzania?
Alafu sasa kama sijaona vibaya jamaa mwenyewe anatumia simu mchina, ndo atatoa laki 2?
 
Mpe hela mbona wewe ukimwomba anakupa unavyotaka
 
Hapo naona anataka kufungua saloon sio kusuka. Hata Kama swala la kutumia hela ikuoee sio namna hii.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Acheni masihara na mishahara ya watu bana..!:heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…