ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,872 Jul 25, 2014 #61 geniveros said: leo kwetu umeme ulikatika na simu nayo kushnei chaji ndo nafika kijiweni Click to expand... Pole sana bibie,ila najua umzima wa afya.
geniveros said: leo kwetu umeme ulikatika na simu nayo kushnei chaji ndo nafika kijiweni Click to expand... Pole sana bibie,ila najua umzima wa afya.
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,434 Reaction score 14,892 Jul 25, 2014 #62 Siku nyingi sana nilikua natamani hili bifu litokee, nashukuru yametimia, bifu kama hili ni raha sana subirini mtaona.
Siku nyingi sana nilikua natamani hili bifu litokee, nashukuru yametimia, bifu kama hili ni raha sana subirini mtaona.